728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, July 01, 2016

    SIMBA SC YAMTAMUBILISHA RASMI OMOG KUWA KOCHA WAKE MPYA

    Dar es Salaam,Tanzania.

    Simba SC leo imemtambulisha, Joseph Omog kutoka Cameroon kuwa kocha wake mkuu mpya kwa mkataba wa miaka miwili.

    Pichani ni Rais wa klabu ya Simba, Evance Aveva akimkabidhi jezi ya timu hiyo,Omog, muda mfupi baada ya kumtambulisha katika hotel Regency jijini Dar es Salaam.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: SIMBA SC YAMTAMUBILISHA RASMI OMOG KUWA KOCHA WAKE MPYA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top