Manchester, England.
MANCHESTER UNITED imemtangaza Mshambuliaji wa Sweden,Zlatan Ibrahimovic,kuwa mchezaji wake mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja baada ya kufuzu vipimo vyake vya afya.
Ibrahimovic,34,ametangazwa jioni ya leo baada ya kuhitimisha mkataba wake katika iliyokuwa klabu yake ya zamani ya Paris Saint Germain ya Ufaransa.
0 comments:
Post a Comment