Dar es Salaam,Tanzania.
YANGA SC leo ilikuwa katika mchakato wa kuwafanyia usaili wagombea wa nafasi mbalimbali klabuni hapo tayari kwa uchaguzi wake mkuu Juni 11,2016.
Wafuatao ndiyo waliopenya katika usaili huo:
NAMBA,JINA LA MGOMBEA,NAFASI YA MGOMBEA
1 AYOUB NYENZI MJUMBE
2 SALUM MKEMI MJUMBE
3 BAKARI MALIMA MJUMBE
4 GODFREY MHELUKA MJUMBE
5 LAMECK NYAMBAYA MJUMBE
6 DAVID RUHAGO MJUMBE
7 SYVESTER HAULE MJUMBE
8 PASCAL LAIZER MJUMBE
9 SAMWEL LUKUMAY MJUMBE
10 HASHIM ABDALLAH MJUMBE
11 GEORGE MNYAMA MJUMBE
12 YUSUF MANJI MWENYEKITI
13 CLEMENT SANGA MAKAMU MWENYEKITI
14 HUSSEIN NYIKA MJUMBE MJUMBE
15 SIZA LYIMO MJUMBE
16 BEDA TINDWA MJUMBE
17 TOBIAS LINGALANGALA MJUMBE
18 ATHUMANI KIHAMIA MJUMBE
19 MCHAFU CHAKOMA MJUMBE
Imetolewa na kamati ya uchaguzi Young
Africans Sports Club.
SALM MAPANDE.
Mwandishi.
Gabriel A. Sengo
0 comments:
Post a Comment