Hatimaye klabu ya Real Madrid ya mjini hapa imetangaza kuwa iko tayari kumuuza mlinzi wake wa kati Mfaransa Rafael Varane kwa dau la £20m katika dirisha hili la usajili barani Ulaya.
Madrid imefikia hatua hiyo ili kutoa nafasi kwa mlinzi huyo kujaribu bahati yake kwingine baada ya
kuwa chaguo la tatu nyuma ya Sergio Ramos na Pepe.
Ikiwa Varane atafanikiwa kuondoka Santiago Bernabeu nafasi yake itazibwa na mlinzi kinda wa klabu hiyo
0 comments:
Post a Comment