Mechi ya Simba Sc dhidi ya Stand United imemalizika na kushuhudia Simba Sc wakiibuka na ushindi wa Magoli mawili kwa moja la Stand United .
Goli la Stands United liliwekwa kambani na Selemani kassim Selembe mapema tu kwa mchezo mnamo Sekunde ya 15 ya na huku ya Simba Sc yakiwekwa kambani na Juma Luizio Ndanda dakika ya 23 na dakika ya 37 na kuipa Ushindi Simba wa Mabao mawili kwa moja.
Pia Simba Sc imeingia mkataba wa miaka Mitano dhidi ya kampuni ya kubahatisha ya SportPesa , Mkataba wa miaka 5 kwenye Thamani ya 4.9 billion, kuanzia msimu ujao
0 comments:
Post a Comment