Lubumbashi,DR Congo
MZAMBIA Rainford “Master” Kalaba (Pichani) sasa ndiye nahodha mpya wa TP Mazembe hii ni baada ya mkongwe Jean Kasusula Kiritsho ,35,kuamua kuachana na wadhifa huo na kuripotiwa kuwa mbioni kujiingiza kwenye siasa.
Kalaba ambaye pia ni nahodha wa timu ya taifa ya Zambia “Chipolopolo” atakuwa akisaidiwa na Issama Mpeko ambaye atakuwa akihudumu kama nahodha msaidizi.
0 comments:
Post a Comment