728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, August 04, 2016

    KIPRE TCHETCHE AIHAMA RASMI AZAM FC NA KUTUA UMANGANI

    Nahdha,Oman.

    Mshambuliaji wa Kimataifa wa Ivory Coast,Kipre Herman Tchetche (Pichani), ameipa mkono wa kwaheri klabu yake ya Azam FC na kujiunga na klabu ya Al Nahdha Fc ya Oman 

    Tchetche,25, amejiunga na Al Nahdha kwa mkataba wa miaka mitatu na amekabidhiwa jezi Namba 10.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: KIPRE TCHETCHE AIHAMA RASMI AZAM FC NA KUTUA UMANGANI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top