Liverpool,England.
Steven Naismith ameibuka shujaa baada ya kuifungia klabu yake ya Everton mabao matatu (hat trik) dhidi ya Chelsea katika mchezo mkali wa ligi kuu England uliopigwa mchana wa leo katika dimba la Goodson Park jijini Liverpool.
Naismith aliyeingia dimbani kuchukua nafasi ya kiungo Mohamed Besic aliyeumia aliipatia Everton bao la kwanza dakika ya 17 na kuongeza la pili dakika ya 22' kabla ya kufunga la tatu dakika ya 82 bao la kufutia machozi la Chelsea limefungwa na Nemanja Matic dakika ya 36'.
0 comments:
Post a Comment