London,England.
Majeruhi ni moja kati ya changamoto kubwa sana inayokwamisha mafanikio ya vilabu pamoja na wachezaji husika.Katika klabu ambayo imekuwa ikikumbwa sana na tatizo hilo ni Arsenal ambayo kwa kipindi kirefu imekuwa ikizikosa huduma za nyota wake mahiri na kuifanya klabu hiyo iendelee kuwa msindikizaji katika mbio za kuwania ubingwa wa michuano ya Ulaya na ligi kuu England.
Ifuatayo ni XI ya kikosi cha majeruhi walioitesa vibaya Arsenal katika karne hii ya 21 huku Diaby akiwa kinara
0 comments:
Post a Comment