Barcelona,Hispania.
Lionel Messi amekuwa baba kwa mara ya pili baada ya mpenzi wake Anonella Roccuzzo kujifungua mtoto wa kiume leo ijumaa.Kutoka Barcelona taarifa zinasema Messi hakushiriki mazoezi leo baada ya kupewa ruhusa ya kuwa karibu na Anonnella kusherekea kuzaliwa kwa Mateo.
Wakati huo huo kocha wa FC Barcelona amesema licha ya Messi kutokuwepo mazoezini leo lakini atakuwemo katika kikosi kitakachoivaa Atletico Madrid kesho jumamosi.
0 comments:
Post a Comment