728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, August 06, 2015

    WILSHERE AIKOROGA TENA ARSENAL,KUWA NJE YA DIMBA KWA WIKI NANE

     


     Hizi ni taarifa mbaya kwa mashabiki wa Arsenal wakati huu timu yao inaelekea kuanza msimu mpya wa ligi kuu England ikiwa na matumaini ya kuipindua Chelsea.
    Wilshere missed much of last season after suffering an ankle injury in the defeat to Manchester United
    Arsenal chini ya Arsene Wenger wanaamini sasa umefika wakati wa kuchukua ubingwa ambao upo mikononi mwa Jose Mourinho.Hata hivyo, hofu imetanda Emirates baada ya vipimo kuonesha kwamba Jack Wilshere anaweza kukaa nje ya uwanja wa muda mrefu baada ya kuonekana kuna jeraha kubwa katika kifundo chake cha mguu alichoumia.
     
    Arsenal wanatarajia kufanya zaidi mwishoni mwa juma hili, lakini hali inavyoonesha Wilshere anaweza kukaa nje ya uwanja kwa wiki sita hadi nane.
     

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: WILSHERE AIKOROGA TENA ARSENAL,KUWA NJE YA DIMBA KWA WIKI NANE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top