728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, August 06, 2015

    RASMI YANGA YAMTEMA ZUTTAH NAFSI YAKE APEWA KISIKI WA TOGO

     
    Rasmi Yanga imemtema beki Joseph Zuttah ‘Teteh’ raia wa Ghana.
    Beki huyo ametemwa siku chache baada ya kuwa amesajiliwa Yanga na sasa nafasi yake inachukuliwa na beki raia wa Togo Vicent Bossou.
     
    Tayari Bossou yuko nchini na inaonekana lazima atajiunga na Yanga ambayo inataka kuimarisha safu ya ulinzi.
     Wakati Bossou anachukua nafasi ya Teteh, kiungo Mzimbabwe, Thaban Kamusoko yeye anajiunga na Yanga na kuchukua nafasi ya Kpah Sherman.
    Sherman tayari amejiunga na kikosi cha Mpumalanga Black Aces cha nchini Afrika Kusini.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: RASMI YANGA YAMTEMA ZUTTAH NAFSI YAKE APEWA KISIKI WA TOGO Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top