728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, August 07, 2015

    TANZANIA YAZIDI KUSHUKA VIWANGO VYA UBORA WA SOKA DUNIANI,ARGENTINA BADO MATAWI YA JUU.

    Timu ya taifa ya Tanzania, Tai Stars, imezidi kushuka katika viwango vya ubora wa Shirikish la Soka la Kimataifa (Fifa) ambapo imeshuka kwa nafasi moj zaidi na sasa inashika nafasi 140.

    Orodha hiyo iliyotolewa jana imeonyesha kuwa, Tanzania ndiy nchi inayoshika nafasi ya chin zaidi katika Ukanda wa Afrika Mashariki ambapo Uganda inashi nafasi ya 74, Kenya ikiwa ya 116.

    Algeria ndiyo inayoongoza kwa Afrika kwa kuwa inashika nafas ya 19 ikifuatiwa na Ivory Coas inayoshika nafasi ya 21.

    Timu zinazoongoza katika 10 bo ni; Argentina, Ubelgiji, Ujerumani, Colombia, Brazil, Ureno, Romania, England, Wales na Chile.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: TANZANIA YAZIDI KUSHUKA VIWANGO VYA UBORA WA SOKA DUNIANI,ARGENTINA BADO MATAWI YA JUU. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top