728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, August 07, 2015

    EUROPA LIGI:WESTHAM YATUPWA NJE,SOUTHAMPTON,DORTMUND ZAFANYA MAUAJI

    Mabao mawili ya dakika za 33,36 ya nahodha wa Astra Giurgiu Constantin Budescu yametosha kuitupa nje ya michuano ya Europa ligi Westham baada ya kuitandika jumla ya magoli 2-1 katika mchezo mkali uliopigwa Giurgiu,Romania.

    Kwa matokeo hayo Giurgui inasonga mbele kwa jumla ya magoli 4-3 baada ya kulazimisha sare ya 1-1 katika mchezo wa kwanza uliopigwa wiki mbili zilizopita jijini London.

    Katika mchezo mwingine Borussia Dortmund imeibuka na ushindi mnene wa goli 5-0 dhidi ya klabu chovu ya Wolfsberg ya Austria huku mshambuliaji Henrikh Mkhitaryan akiibuka shujaa baada ya kufunga hat-trick.Kwa matokeo hayo Dortmund inafuzu kwa jumla ya magoli 6-0.

    Magoli mawili ya Grazianno Pelle na Sadio Mane yameipa ushindi mwingine mnono Southampton dhidi ya Vitesse ya Uholanzi.Hivyo Southampton inafuzu kwa jumla ya magoli 5-0 baada ya mchezo wa kwanza kuibuka na ushindi wa goli 3-0.


    Matokeo mengine......
    Qabala 1-0 Apollon Limassol
    Inter Baku 0-0 Ath Bilbao
    Omonia Nicosia 2-2 Brøndby IF
    Rubin Kazan 1-1 SK Puntigamer Sturm Graz
    Hapoel Ironi Kiryat Shmona
    0-3 Slovan Liberec
    IFK Göteborg 0-0 Belenenses
    Istanbul Basaksehir 1-2 AZ Alkmaar
    Odd 2-0 IF Elfsborg
    Rosenborg 3-1 Debrecen
    Strømsgodset 0-2 Hajduk Split
    Trabzonspor 1-1 Rabotnicki
    Vorskla Poltava 3-1 MSK Zilina
    Dinamo Minsk 1-1 FC Zürich
    AEK Larnaka 0-1 Bordeaux
    FC Vaduz 2-2 FC Thun
    FC Copenhgn 2-3 FK Baumit Jablonec
    Astra Giurgiu 2-1 West Ham
    Atromitos Athens 1-0 AIK
    St Etienne 1-2 ASA Targu Mures
    Vitesse 0-2 Southampton
    Zeljeznicar Sarajevo 0-1 Standard Liege
    Zorya Luhansk 3-0 Sporting de Charleroi
    Spartak Trnava 1-1 PAOK Salonika
    Slovan Bratislava 3-3 FK Krasnodar
    Bor Dortmd 5-0 RZ Pellets WAC
    Aberdeen 1-1 Kairat Almaty
    FK Vojvodina 0-2 Sampdoria
    Legia Warsaw 1-0 FK Kukës
    Vitória Guimarães 1-4 CASHPOINT SCR Altach




    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: EUROPA LIGI:WESTHAM YATUPWA NJE,SOUTHAMPTON,DORTMUND ZAFANYA MAUAJI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top