728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, August 07, 2015

    KOCHA MZUNGU WA TOTO ASEMA HATISHWI NA UKUBWA WA SIMBA WALA YANGA

    Baada ya Toto Africans ya jiji hapa kumpata kocha mpya kutoka nchini Ujerumani, Martine Grelics, kocha huyo amefunguka kusema kuwa hatishwi na uwezo timu za Simba, Yanga na Azam F na kudai kuwa lengo yake ni kuhakikisha kuwa timu inafanya vizuri kwenye Ligi Kuu Bara.

    Akizungumza ikiwa ni siku ya p tangu kutua nchini, Grelics alisema amekuja kufanya mabadiliko ndani ya kikosi cha Toto kwa kuwafundisha falsafa mpya.

    “Imani yangu ni kwamba endapo wachezaji watanielewa basi Tot itakuwa tishio. Nimesikia uwep wa timu kubwa hapa nchini kama Yanga, Simba na Azam, hivyo nitakiandaa kikosi changu ili kiweze kuwa mfano wa kuigwa kw kuhakikisha kuwa timu inapata matokeo yatakayoifanya ipate nafasi muhimu katika ligi,” alisema na kuongeza:

    “Muda siyo mrefu tutaanza mazo magumu ambayo yatasaidia wachezaji kwa jumla kuwa fiti kuwa na nguvu.”

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: KOCHA MZUNGU WA TOTO ASEMA HATISHWI NA UKUBWA WA SIMBA WALA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top