Ama kweli kila mjanja ana mjanja wake na kila bosi ana bosi wake.Nyota wa FC Barcelona Mbrazil Neymar Jr amewataja mlinzi Javier Mascherano, Gerrard Pique, Thiago Silva na Sergio Ramos kuwa ndiyo walinzi anaompa tabu sana kuwapita pindi akutanapo nao uwanjani.
Akifanya mahojiano hivi karibuni na FIFA TV Neymar amesema "Nimekutana na walinzi wengi mahari lakini Mascherano, Pique, Thiago Silva, na Sergio Ramos ni wagumu zaidi kupitika.
Pia Neymar ameongeza kuwa angetamani kucheza na nyota kama Zinedine Zidane,Romario na RonaldoNazário na kuongeza kuwa shujaa wake wa kwanza katika soka ni Robinho na marafiki wake wakubwa ni Ganso na Dani Alves.
Romário,
Zinedine Zidane and Ronaldo Nazário, that his first footballing hero
was Robinho and that Ganso and Dani Alves are his best friends in the
game.
Romário,
Zinedine Zidane and Ronaldo Nazário, that his first footballing hero
was Robinho and that Ganso and Dani Alves are his best friends in the
game.
0 comments:
Post a Comment