728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, April 10, 2017

    Uchaguzi TFF ni Agosti



    Farid Miraji,Dar Es Salaam.

    Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kimekutana  jana Jumapili Aprili 9, 2017 na miongoni mwa maamuzi yake kikao kimeamua kuwa Mkutano Mkuu wa TFF, utafanyika Jumapili ya August 12, 2017. Miongioni mwa ajenda katika mkutano huo, itakuwa ni uchaguzi mkuu wa TFF. Kwa mujibu wa Katiba, uchaguzi huo utachagua Rais wa TFF, Makamu Rais wa TFF na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Uchaguzi TFF ni Agosti Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top