728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, February 16, 2017

    Simba yatangulia Robo Fainali

    Na Faridi Miraji.                                           

    Mfungaji wa goli pekee la Leo Mavugo


    Bao pekee la Mshambuliaji wa kimataifa wa simba kutokea nchini Uganda Mavugo limeipeleka simba sc kwenye hatua ya robo fainali .
    Mavugo alifunga goal dk 57 ya mchezo huu akipokea basi mulua kutoka kwa kiungo Ibrahim Ajibu Migomba na kumshinda goalkeeper Ludovic na kutinga nyavuni moja kwa moja 

    Kiungo mkabaji was simba Jonas Mkude

    Mchezo huo ulishuhudia kurudi kwa kiungo mkabaji wa simba Jonas mkude aliyekuwa akisumbuliwa na majeraha 

    Pia ilishudiwa kurudi dimbani kiungo mshambuliaji Mohamed Ibrahim Mo alipata majeraha tangia kombe la mapinduzi Zanzibar.

    Hadi mwisho mwa mchezo Simba moja na African Lyon bila na Simba sc kupata tiketi ya kwenda hatua ya robo Fainali.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Simba yatangulia Robo Fainali Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top