Dar es Salaam,Tanzania.
Mohamed Dewji 'MO' (Pichani) ameonyesha kweli ana nia ya kuifanyia makubwa klabu ya Simba SC hii ni baada ya Mchana wa leo kumkabidhi Rais wa klabu hiyo,Evans Aveva,hundi ya Shilingi Milioni 100 za Kitanzania ili kuongeza nguvu katika zoezi la usajili wa wachezaji linaloendelea.
0 comments:
Post a Comment