728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, August 15, 2016

    BAYERN MUNICH YAITUNGUA BORUSSIA DORTMUND NA KUMALIZA NUKSI YA KUTOTWAA DFL SUPERCUP


    Westfalenstadion,Ujerumani.

    Bayern Munich imetwaa Uchampioni wa DFL German Super Cup baada ya Jumapili Usiku kuichapa Borussia Dortmund mabao 2-0 katika mchezo safi uliochezwa katika dimba la Westfalenstadion (Signal Park Iduna).

    Mabao yaliyoipa ushindi Bayern Munich katika mchezo huo ambao kwa kiasi kikubwa ulitawaliwa na wenyeji Borussia Dortmund yamefungwa na Arturo Vidal pamoja na Thomas Muller dakika za 58 na 79 na kumpa Kocha Carlo Ancelotti mwanzo mzuri klabu hapo.




    Huo ni ubingwa wa kwanza wa DFL Super Cup kwa Bayern Munich tangu mwaka 2012.DFL Super Cup hua ni mchezo maalumu kwa ajili ya ufunguzi wa ligi ya Bundesliga ni sawa na ngao ya jamii kwa England.



    Vikosi

    Dortmund:Bürki – Passlack,

    Sokratis, Bartra,Schmelzer – Castro,Rode – Ramos (69.Weigl), Kagawa,Dembélé (68.Schürrle) –

    Aubameyang (78.Mor) Bench Weidenfeller, Götze,Guerreiro, Piszczek

    FC Bayern:Neuer – Lahm,

    Martínez, Hummels,Alaba – Vidal (71.Kimmich), Alonso,Thiago – Müller (86.Rafinha),Lewandowski, Ribéry (65. Coman)

    Mwamuzi: Tobias Welz

    Mahudhurio:81,360


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: BAYERN MUNICH YAITUNGUA BORUSSIA DORTMUND NA KUMALIZA NUKSI YA KUTOTWAA DFL SUPERCUP Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top