Fleetwood Town, England
PICHANI wachezaji wa Liverpool wakipongezana baada ya kuifunga Fleetwood Town kwa jumla ya mabao 5-0 katika mchezo wa Kirafiki wa Kujipima nguvu uliopigwa katika uwanja wa Highbury tayari kwa msimu ujao wa Ligi.
Mabao ya Liverpool yamefungwa na Marco Grujic 18, Ben Woodburn 52, Lucas Leiva 69,Roberto Firmino 70 na 90.
Fleetwood Town ni timu ya zamani ya mshambuliaji wa Leceister City na England, Jamie Vardy.
0 comments:
Post a Comment