Zurich, Uswisi.
SHIRIKISHO la Soka Ulimwenguni FIFA leo limetoa orodha ya viwango vya ubora vya soka kwa Wanachama Wake kwa Mwezi Juni.
Katika orodha hiyo Argentina iko kileleni kidunia,Algeria iko kileleni kwa ukanda wa Afrika huku Tanzania ikifanikiwa kupanda kwa nafasi sita toka nafasi ya 136 mwezi uliopita mpaka nafasi ya 130 kidunia huku Afrika ikiwa nafasi ya 40.
DUNIANI (Kumi bora)
1. Argentina
2. Ubeljiji
3. Colombia
4. Ujerumani
5. Chile
6. Ureno
7. Ufaransa
8. Spain
9. Brazil
10. Italia
AFRIKA
1 (33) Algeria
2 (34) Ivory Coast
3 (38) Ghana
4 (43) Senegal
5 (44) Egypt
6 (47) Cape Verde
7 (47) Tunisia
8 (51) DR Congo
9 (58) Guinea
10 (59) Congo
11 (63) Cameroon
12 (64) Morocco
13 (65) Mali
14 (67) Nigeria
15 (70) South Africa
16 (72) Uganda
17 (73) Benin
18 (75) Burkina Faso
19 (78) Zambia
19 (83) Equatorial Guinea
20 (87) Rwanda
21 (88) Gabon
22 (91) Botswana
23 (96) Central African Republic
24 (97) Chad
25 (101) Mozambique
26 (102) Guinea-Bissau
27 (103) Togo
28 (103) Mauritania
29 (107) Malawi
30 (109) Liberia
31 (112) Libya
32 (115) Kenya
33 (118) Sierra Leone
34 (120) Niger
35 (121) Angola
36 (122) Burundi
37 (123) Ethiopia
38 (127) Zimbabwe
39 (129) Sudan
40 (130) Tanzania
41 (134) Swaziland
42 (136) Namibia
43 (138) Madagascar
44 (148) Lesotho
45 (150) Sao Tome and Principe
46 (154) Mauritius
47 (155) South Sudan
48 (159) Comoros
49 (167) Gambia
50 (178) Seychelles
51 (204) Djibouti
52 (204) Eritrea
53 (204) Somalia
0 comments:
Post a Comment