728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, July 06, 2016

    HATIMAYE HENRIKH MKHITARYAN ATUA MANCHESTER UNITED

    Manchester, England.

    Hatimaye Manchester United imekamilisha uhamisho wa Kiungo,Henrikh Mkhitaryan,kutoka Borussia Dortmund ya Ujerumani.

    Mkhitaryan,27,ambaye ni mzaliwa wa nchi ya Armenia amejiunga na Manchester United kwa mkataba wa miaka minne kwa dau linalokadiriwa kufikia £28m.

    Mkhitaryan ameiacha Borussia Dortmund akiwa ameifungia mabao 41 katika michezo 140 huku msimu uliopita akiifungia klabu hiyo ya Bundesliga mabao 23 na kupika mengine 32 katika michuano yote.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HATIMAYE HENRIKH MKHITARYAN ATUA MANCHESTER UNITED Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top