Lyon,Ufaransa.
URENO imekata tiketi ya kucheza fainali ya Euro 2016 baada usiku huu kuifunga Wales kwa jumla ya mabao 2-0 katika mchezo mkali wa robo fainali uliochezwa katika Uwanja wa Stade Olympique Lyonnais, Lyon.
Ureno imejipatia mabao yote kipindi cha pili kupitia kwa Nahodha wake,Cristiano Ronaldo aliyefunga kwa kichwa dakika ya 50 na Luis Nani aliyefunga dakika ya 53.
Sasa Ureno inasubiri mshindi kati ya Ujerumani ama mwenyeji Ufaransa ili iweze kuvaana nae katika mchezo wa fainali utakaochezwa Jumapili Julai 10.
VIKOSI
Rui Patricio; Cedric, Bruno Alves, Fonte,Guerreiro; Danilo; Joao Mario, Renato Sanches, Adrien Silva; Nani, Ronaldo.
Wales
Hennessey; Chester, Williams, Collins;Gunter, Allen, Ledley, King; Taylor; Bale;Robson-Kanu.
0 comments:
Post a Comment