London,England.
Magoli mawili ya Alexis Sanchez ya dakika za 6,20 na moja la Mesut Ozil la dakika ya 7 yameiwezesha Arsenal kuibuka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya Manchester United katika mchezo mkali wa ligi kuu ulioisha hivi punde katika dimba la Emirates.
Kufuatia ushindi huo mnono Arsenal imefanikiwa kukamata nafasi ya pili ikiwa nyuma ya Manchester City kwa tofauti ya pointi mbili.Arsenal ina pointi 16 na Manchester City ina pointi 18
0 comments:
Post a Comment