Timu ya taifa ya Ujerumani imeibuka na ushindi wa bao 3-1 dhidi ya wapinzani wao wakubwa Poland katika mchezo mkali wa kundi D wa kuwania tiketi ya kucheza fainali zijazo za michuano ya Ulaya hapo mwakani.
Ujerumani ilipata goli lake la kwanza lilifungwa na Thomas Müller dakika ya 12’ kisha Götze akaongeza mawili dakika za 19’, 82’ kabla ya Robert Lewardowisk kuifungia Poland goli la kufutia machozi dakika ya 36’.
Kufuatia ushindi huo Ujerumani imefanikiwa kulipa kisasi baada ya kufungwa na Poland goli 2-0 katika mchezo uliopigwa mwaka jana huko Warsaw.
Matokeo Mengine
Georgia 1-0 Scotland
Gibraltar 0-4 Rep Ireland
Faroe Isl 1-3 N Ireland
Greece 0-1 Finland
Denmark 0-0 Albania
Hungary 0-0 Romania
Serbia 2-0 Armenia
Mechi za Jumamosi Septemba 5
Ukraine vs Belarus
Luxembourg vs Macedonia
Estonia vs Lithuania
San Marino vs England
Russia vs Sweden
Spain vs Slovakia
Switzerland vs Slovenia
Austria vs Moldova
Montenegro vs Liechtenstein
0 comments:
Post a Comment