Taifa Stars imeshindwa kuibuka na ushindi nyumbani baada ya kutoka sare tasa ya 0-0 na Nigeria katika mchezo wa kundi G wa kuwania tiketi ya kushiriki michuano ya AFCON 2017.
Taifa Stars licha ya kucheza vizuri katika mchezo wa leo lakini ilishindwa kuzitumia nafasi kadhaa ilizozipata baada ya washambuliaji wake Mrisho Ngassa,Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu kukosa utulivu na kutumbukiza mpira katika wavu wa Nigeria.
Kufuatia matokeo hayo Taifa Stars inakuwa imejikusanyia jumla ya alama moja huku Nigeria ikifikisha alama nne katika michezo miwili.
VIKOSI VILIKUWA KAMA IFUATAVYO......
Nigeria Starting XI
1 Carl Ikeme
2 Solomon Kwambe
3 Kingsley Madu
4 Obiora Nwankwo
5 Kenneth Omeruo
6 William Stroot-Ekong
7 Ahmed Musa
8 Izunna Uzochukwu
9 Emmanuel Emenike
10 Haruna Lukman
11 Moses Simon
Akiba: Ikechukwu Ezenwa, Rabiu Ibarim ,Emem Eduok,Anthony Ujah, Chima Akas, Slyvester Igboun, Godfrey Oboabona
Tanzania starting XI
1. Ally Mustafa – 1
2. Shomari Kapombe – 2
3. Haji Mwinyi – 3
4. Nadir Haroub ” Cannavaro” – C – 23
5 Kelvin Yondani – 5
6. Himid Mao – 7
7. Thomas Ulimwengu – 11
8. Mudathir Yahya – 16
9. Mbwana Samatta – 10
10. Mrisho Ngasa – 17
11. Farid Musa – 9
Akiba:Said Mohamed – 18, Hassan Isihaka – 15, Mohamed Hussein – 6, Said Hamis – 8. Deus Kaseke – 4, Saimon Msuva – 12, John Bocco
0 comments:
Post a Comment