Shirikisho la soka barani Ulaya Uefa limewatangaza majina ya nyota watatu wanakaochuana Agosti 28 huko Monaco kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya 2014/2015.
Wachezaji hao ambao wote wanatokea Hispania ni nyota wawili wa FC Barcelona Lionel Messi na Louis Suarez huku mchezaji wa tatu akiwa ni mchezaji bora wa msimu uliopita Cristian Ronaldo wa Real Madria.
Mbali ya nyota pia Uefa imewatangaza nyota watatu wa kike ambao nao watachuana kuwania tuzo hiyo.Nyota hao ni Mfaransa Amandine Henry na Wajerumani Dzsenifer Marozsan na Celia Sasic.
0 comments:
Post a Comment