728x90 AdSpace

Tuesday, June 02, 2015

AZAM FC YAPUNGUZA,YAONGEZA

USAJILI

Azam FC imewaruhusu wachezaji wake watatu waliomaliza mikataba yao kutafuta timu nyingine
Wachezaji hao ni Gaudence Mwaikimba, Amri Kiemba (mkopo toka Simba) na Wandwi Jackson



Pia klabu imerefusha mikataba ya wachezaji
waliokuwa wakikaribia kumaliza mikataba yao. Wachezaji hao ni Said Morad, Erasto Nyoni, Dedier Kavumbagu, Khamis Mcha, Waziri Salum, Brison Raphael, Joseph Kimwaga, Mudathir Yahya na Farid Mussa.
Hadi sasa Klabu haijaingia mkataba na mchezaji yoyote toka nje...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: AZAM FC YAPUNGUZA,YAONGEZA Rating: 5 Reviewed By: Unknown