728x90 AdSpace

Monday, June 29, 2015

MTOTO WA CRISTIAN RONALDO BALAA TUPU

Kuna ule msemo wa mtoto wa nyoka ni nyoka, inaweza kutumika kwa mtoto wa staa wa soka duniani Cristiano Rinaldo ambaye kadri miaka
inavyokwenda amekua akifuata nyota za baba yake.Ronaldo na mtoto wake huyo ambaye kwa sasa ana miaka mitano wameonekana wakijipumzisha katika moja ya fukwe…huku akionekana kuumiliki vyema mpira kama aanavyofanya baba yake.(Peter Joseph Mdee)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: MTOTO WA CRISTIAN RONALDO BALAA TUPU Rating: 5 Reviewed By: Unknown