Tarehe kama ya leo miaka 20 iliyopita yaani mwaka 20/06/1995 mshambuliaji Dennism Bergkamp alitua katika klabu ya Arsenal kwa ada ya uhamisho ya £7.5m ambayo kwa kipindi hicho ndiyo ilikuwa kubwa zaidi katika s
oka la England.
Bergkamp aliichezea Arsenal jumla ya michezo 423 kati ya mwaka na 1995 na 2006 na kufanikiwa kufunga jumla ya magoli 120 katika michuano yote huku akikusanya mataji kadhaa kama EPL,FA na CARLING CUP.
NUKUU:
Marco Van Basten:"Kama Ryan Giggs ana thamani ya £20m basi Dennis Bergkamp ana thamani ya £100m.
Marco Van Basten:"Kama Ryan Giggs ana thamani ya £20m basi Dennis Bergkamp ana thamani ya £100m.
0 comments:
Post a Comment