728x90 AdSpace

Saturday, June 27, 2015

KUMEKUCHA!!NGOMA,MGHANA WAWASILI YANGA TAZAMA MAPOKEZI YAO HAPA

Klabu ya Yanga mchana huu imewapokea wachezaji wake wapya Donald Ngoma toka Zimbabwe na James Zutah toka Ghana.Ujio wa nyota hao ounafanya Yanga ifikishe wachezaji saba wa kimataifa ambayo ndiyo idadi sahihi iliyokubaliwa na TFF.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: KUMEKUCHA!!NGOMA,MGHANA WAWASILI YANGA TAZAMA MAPOKEZI YAO HAPA Rating: 5 Reviewed By: Unknown