Uongozi wa timu ya Azam FC umepinga kitendo cha kamati ya utendaji ya TFF kutoza kiasi cha dola 2,000 za kimarekani
kama ada ya maendeleo ya soka la vijana kwa kila mchezaji wa kigeni atakayesajiliwa.
Mtendaji mkuu wa Azam FC Saad Kawemba amesema, ada hiyo kwa wachezaji wa kigeni ambao watasajiliwa kucheza kwenye ligi kuu Tanzania bara ni sawa na kuvikomoa vilabu kwasababu vyenyewe ndio vilitaka ongezeko la wachezaji kutoka watano. “Kwanza kabisa tunamasikitiko kwasababu jambo kama hili ambalo linatuhusu moja kwa moja hatukuitwa, hatuzungumzi halafu linakuwa ni tamko, moja...
0 comments:
Post a Comment