La Hoya Lorca ya Hispania 2013/14
Mchezo wa soka umetoka mbali sana huku mambo mengi mazuri na mabaya yakitokea.Tumeona wanasoka mahiri wakiibuka,wakafanya mazuri na kisha wakapotea kwa kasi ya risasi.
Soka Extra imeona ikukumbushe baadhi ya jezi ambazo ziliwahi kuvaliwa na wanasoka wengi na kuacha maswali kutokana na jezi hizo kuwa hovyo
yaani zisizo na mvuto kwa mashabiki na wachezaji wenyewe.Baadhi ya jezi hizo ni hizi zifuatazo..........
jezi ya mlinda mlango wa Sunderland mwaka 1994/96
Chelsea (ugenini) 1994-1996
1860 Munich 2010
Athletic Bilbao 2004/05
Manchester United (ugenini)1992/93
David James alivaa jezi hii akiidakia Liverpool-1995-97
Hully City 1993/94
Jezi hii ilivaliwa na mlinda mlango wa Arsenal-1993/94
Mlinda mlango wa Mexico 1994 alivaa jezi hii
0 comments:
Post a Comment