Santiago,Chile.
Timu ya taifa ya Brazil imekata tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Copa America baada ya usiku wa kuamkia leo kuifunga Ven
ezuela kwa magoli 2-1.
Brazil ikicheza bila ya nahodha wake Neymar Jr ilijipatia magoli hayo kupitia kwa mlinzi wake Thiago Silva na kiungo mshambuliaji Roberto Firmino huku lile la Venezuela likifungwa na Miku.
Matokeo mengine ya kundi hilo la C,Colombia imeenda sare ya 0-0 na Peru.Kufuatia matokeo hayo Brazil,Colombia na Peru zote zimekata tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali.
RATIBA YA ROBO FAINALI HII HAPA!!
Chile vs Uruguay (24 Juni)
Bolivia vs Peru (25 Juni)
Argentina vs Colombia (26 Juni)
Brazil vs Paraguay (27 June)
0 comments:
Post a Comment