728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, August 03, 2015

    ROONEY ASHINDWA KUITETEA EVERTON,YADUNDWA 2-1 NA VILARREAL



    Nahodha wa Man United, Wayne Rooney amerejea na kuichezea timu iliyomkuza kisoka ya Everton katika mechi maalum ya kumuaga gwiji wa klabu hiyo Duncan Ferguson.

    Ferguson ndiye shujaa wa Rooney katika mchezo wa soka tokea akiwa mtoto na alitaka kuwa kama mchezaji huyo mkongwe.

    Pamoja na kuichezea akiingia kuchukua nafasi ya Tom Cleverley, Rooney hakuweza kuiokoa Everton kupoteza kwa mabao 2-1 dhidi ya Vilarreal ya Hispania.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: ROONEY ASHINDWA KUITETEA EVERTON,YADUNDWA 2-1 NA VILARREAL Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top