 |
Majabvi akisaini mkataba,pembeni Manara |
Rasmi klabu ya Simba Sc imeamua kumsajili kiungo toka Zimbambe Justice Majabvi kwa mkataba wa miaka miwili.Simba SC imefikia uwamuzi huo baada ya kuridhishwa na kiwango cha Majabvi,31 anayemudu vyema nafasi ya kiungo cha kukaba na kuamua kumpa mkataba.
 |
Majabvi akiwa kazini Vietnam |
Majabvi ametokea kwenye klabu ya Vicem Hai Phong FC ya Vietnam
ambapo alijiunga na timu hiyo Januari mwaka 2013 akitokea Dynamos FC ya
Zimbabwe.
 |
Majabvi akitolewa dimbani baada ya kuumia |
0 comments:
Post a Comment