728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, August 08, 2015

    JUVENTUS YATWAA SUPER CUP YAITWANGA LAZIO MBILI MTUNGI

    Klabu ya Juventus imetwaa ubingwa wa Super Cup baada ya kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya klabu ya Lazio katika mchezo mkali uliopigwa jioni ya leo huko Shanghai China.

    Juventus ilipata magoli yake kupitia kwa washambuliaji wake wapya Mario
    Mandzukic na Paulo Dybala.Huu ni ubingwa wa tatu kwa Juventus katika kipindi cha miaka minne.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: JUVENTUS YATWAA SUPER CUP YAITWANGA LAZIO MBILI MTUNGI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top