TFF imeahairisha tena tarehe ya kuanza kwa ligi kuu kutoka tarehe 22 agosti hadi tarehe 12 septemba.Huku pia mechi ya ngao ya hisani ikiahirishwa kutoka tarehe 15agosti hadi tarehe 22 agosti.
Tabia hii ya kuhairisha mechi za ligi imekua ikitokea mara kwa mara hali ambayo imekuwa usumbufu mkubwa kwa timu shiriki. Ni vyema TFF wakajitahidi kuboresha hali hii.
0 comments:
Post a Comment