728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, July 17, 2015

    UHURU SELEMAN KUKIPIGA LIGI KUU AFRIKA KUSINI


    Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Uhuru Seleman Mwambungu amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu ya Jomo Cosmos iliyopanda kucheza ligi kuu ya Afrika kusini.Uhuru ambaye msimu uliopita aliichezea Mwadui FC na kuisaidia kupanda ligi kuu msimu ujao atakuwa akilipwa mshahara wa Dola Elfu tano ( $5000) baada ya makato.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: UHURU SELEMAN KUKIPIGA LIGI KUU AFRIKA KUSINI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top