Baada ya Azam FC kutwaa kombe la
Kagame na kutangazwa kuwa mabingwa wapya wa kombe hilo kwa mara ya
kwanza tangu Azam ilipoanzishwa mwaka 2007. Kombe hilo la Kagame
linakuwa ni kombe la tatu
kwa Azam mbali ya yale ya ubingwa wa ligi
waliyoshinda mwaka 2013 na 2014.
Mbali na Azam kushinda kombe hilo
kuna wachezaji walioshinda tuzo zao binafsi baada ya kufanya vizuri
kwenye mashindano hayo, wafuatao ni wachezaji walioshinda tuzo hizo.
MVP (Most Valuable Player)- Pascal Serge Wawa (Azam)
Golikipa bora-Boniface Oluoch (Gor Mahia)
Beki bora-Pascal Serge Wawa (Azam)
Mfungaji bora- Michael Olunga (Gor Mahia) amefunga magoli matano (5)
0 comments:
Post a Comment