728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, May 07, 2017

    Uswahiba wa Neymar,Gabigol wageuka Ushemeji


    Santos,Brazil.

    MWENYE Dada hakosi shemeji.Kauli hii imejidhirisha baada ya Dada wa staa wa Barcelona na Brazil,Neymar Jr aitwaye Rafaella Beckran kuutangazia ulimwengu kuwa anatoka kimapenzi wa rafiki wa kaka yake ambaye ni staa wa Inter Milan na Brazil aitwaye Gabriel 'Gabigol' Barbosa. 

    Rafaella Beckran ambaye ni mwanamitindo ameweka picha tata kwenye ukurasa wake wa instagram ikimwonyesha akibusiana busu zito (Denda) na Gabigol.

                                           

    Gabigol na Neymar ni maswahiba wakubwa.Wote wameanzia soka lao kwenye klabu ya Santos ya nyumbani kwao Brazil kabla ya kutimkia Ulaya kujiunga na vilabu vya Barcelona na Inter Milan.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Uswahiba wa Neymar,Gabigol wageuka Ushemeji Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top