Paul Manjale,Dar Es Salaam.
MBARAKA YUSUF akipiga picha za ukumbusho mara baada ya kusaini kandarasi ya miaka miwili ya kuichezea Azam FC.
Mbaraka amejiunga na Azam FC akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza kandarasi yake ya mwaka mmoja na Kagera Sugar ya mkoani Kagera.
Mbaraka anakuwa mchezaji wa pili kutua Azam FC katika kipindi cha wiki moja baada ya Wazir Junior aliyetua akitokea Toto Africans ya Mwanza kwa kandarasi ya miaka miwili.
0 comments:
Post a Comment