London England.
VILABU vya ligi kuu ya soka nchini England leo vimetoa orodha ya majina ya wachezaji watakaokuwemo kwenye vikosi vyao msimu ujao huku pia vikitoa orodha ya majina ya wachezaji watakaotemwa na kuwa huru kujiunga na vilabu vingine.
Baadhi ya majina ya wachezaji nyota waliothibitishwa kutemwa na vilabu vyao ni pamoja na John Terry ambaye ametangazwa kutupiwa virago na klabu yake ya Chelsea baada ya kuhudumu kwa kipindi cha zaidi ya miaka 20.
Mwingine ni Joey Barton ambaye ameachwa na klabu yake ya Burnley baada ya hivi karibuni kufungiwa miezi 18 na chama cha soka nchini England (FA) kwa kosa la kujihusisha na uchezaji wa kamari.
Arsenal imemtupia virago mshambuliaji wake Mfaransa ,Yaya Sanogo aliyefanikiwa kuichezea klabu hiyo michezo 20 pekee tangu ajiunge nayo mwaka 2013 akitokea klabu ya Auxerre.
Everton imemwacha mshambuliaji wake mahiri kutoka nchini Ivory Coast,Arouna Kone huku mabingwa wa Europa Ligi Manchester United imemtema mshambuliaji wake majeruhi ,Msweden Zlatan Ibrahimovic.
Crystal Palace ndiyo klabu iliyotema wachezaji wengi.Jumla imetema wachezaji 11 ambao ni Fraizer Campbell na Joe Ledley.Kiungo wa zamani wa Arsenal Mathieu Flamini nae ametemwa pamoja na Jonathan Benteke ambaye ni kaka mdogo wa mshambuliaji Christian Benteke.
Orodha kamili ya wachezaji waliotemwa
Bournemouth
Callum Buckley
Jake McCarthy Jake
Alexander Neale
Arsenal
Kristopher Da Graca
Stefan O'Connor
Yaya Sanogo
Burnley
Joey Barton
George Green
Christian Hill
Michael Kightly
Taofiq Olomowewe
Richard Pingling
Chelsea
John Terry
Crystal Palace
Corie Andrews
Kwesi Appiah
Jonathan Benteke
Fraizer Campbell
Luke Croll
Mathieu Flamini
Zeki Fryers
Ryan King-Elliott
Joe Ledley
Randell Williams
Ben Wynter
Everton
Jack Bainbridge
Delial Brewster
Michael Donohue
Tyrone Duffus
Russell Griffiths
Connor Hunt
Arouna Kone
Conor McAleny
Josef Yarney
James Yates
Leicester City
Michael Cain
David Domej
Brandon Fox
Cedric Kipre
Matthew Miles
Kairo Mitchell
Marcin Wasilewski
Liverpool
Tom Brewitt
Jake Brimmer
Jack Dunn
Madger Antonio
Kane Lewis
Alex Manninger
Adam Phillips
Manchester City
Callum Bullock
Willy Caballero
Gael Clichy
Jesus Navas
Ellis Plummer
Bacary Sagna
Pablo Zabaleta
Manchester United
Zlatan Ibrahimovic
Southampton
Martin Caceres
Lloyd Isgrove
Cuco Martina
Stoke City
Daniel Bachmann
Liam Edwards
Shay Given
Harvey Isted
Joel Taylor
George Waring
Swansea City
Tom Dyson
Marvin Emnes
Thomas Holland
Owain Jones
Alex Samuel
Liam Shephard
Gerhard Tremmel
Josh Vickers
Tottenham Hotspur
Filip Lesniak
Watford
Ola Adeyemo
Charlie Bannister
Rene Gilmartin
Juan Francisco Moreno Fuertes
Ogochukwu Oulare
Rhyle Ovenden
Mathias Ranegie
West Bromwich Albion
Daniel Barbir
Zachary Elbouzedi
Darren Fletcher
Callam Jones
Sebastien Pocognoli
Andre Wright
West Ham United
Alvaro Arbeloa
Samuel Ford
Samuel Howes
Kyle Knoyle
Samuel Westley
0 comments:
Post a Comment