728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, August 19, 2016

    BREAKING:TFF YAMUIDHINISHA KESSY KUICHEZEA YANGA SC LIGI KUU BARA


    Dar Es Salaam,Tanzania.

    Kamati ya Sheria na Hadhi ya wachezaji imepitisha usajili wa timu za Ligi Kuu, ikiwa ni pamoja na kuidhinisha jina la mchezaji Hassan Kessy kuichezea Young Africans. Hii kwa mujibu wa Ofisa Habari wa TFF, Alfred Lucas

    Taarifa zaidi zitakujuia hivi punde...


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: BREAKING:TFF YAMUIDHINISHA KESSY KUICHEZEA YANGA SC LIGI KUU BARA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top