728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, August 08, 2016

    GENK YA SAMATTA YACHAPWA 1-0 UBELGIJI

    Genk,Ubelgiji.

    Klabu ya KRC Genk anayochezea Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta,leo imeangukia pua baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0 toka kwa AA Genk katika mchezo Mkali wa ligi kuu ya Ubelgiji -Pro League ulioishi muda mfupi uliopita katika dimba la Ghelamco Arena,Gent.

    Bao pekee la mchezo huo limefungwa dakika ya 90 na Mshambuliaji wa Ufaransa,Jeremy Perbet.

    Matokeo hayo yameifanya KRC Genk ibaki katika nafasi ya kumi na pointi zake tatu baada ya kushuka dimbani mara mbili.AA Gent wao wamepanda mpaka nafasi ya tano baada ya kufikisha pointi nne katika michezo miwili.



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: GENK YA SAMATTA YACHAPWA 1-0 UBELGIJI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top