Paris,Ufaransa.
URENO imetwaa Uchampion wa Michuano ya Euro 2016 baada ya kuwafunga wenyeji Ufaransa kwa bao 1-0 katika mchezo mkali wa fainali uliochezwa usiku huu katika uwanja wa Stade De France uliokuwa na Watazamaji 75,868.
Bao pekee la mchezo huo limefungwa dakika ya 109 na Eder kwa mkwaju mkali wa chini chini na kuipa Ureno taji hilo kubwa zaidi katika ngazi ya soka Ulaya.
0 comments:
Post a Comment