Linares,Hispania.
NAHODHA wa klabu ya Daraja la tatu ya nchini Hispania ya Linares Deportivo,Fran Carles,amefariki dunia baada ya kupata ajali wakati akifanya mazoezi Gym katika hiteli moja huko Linares.
Carles,26,amefariki baada ya kuchanika msuli wa paja uliopelekea damu kuvujia mwilini na kupelekea kifo hicho.
Msimu uliopita Carles aliichezea Linares michezo 33 na kufunga bao moja.
0 comments:
Post a Comment