728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, February 02, 2016

    TFF YASISITIZA HAKUNA VITA KATI YAKE NA ZFA

    Dar es salaam,Tanzania.

    Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF),limesema hakuna vita kati ya Shirikisho na Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) bali mawasiliano yanaendelea kati ya TFF na
    vyombo husika kuhakikisha ZFA ambaye ni mwanachama mshiriki wa CAF anaendesha
    shughuli zake kwa mujibu wa taratibu.

    Kanuni na taratibu za CAF ziko wazi kuhusu nani aongoze Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) na anapatikana kwa utaratibu upi.Kikubwa ni kuzuia ZFA isipate madhara ya kufungiwa na Chama Cha Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF).

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: TFF YASISITIZA HAKUNA VITA KATI YAKE NA ZFA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top