Siku za hivi karibuni mishahara ya makocha wa soka imekuwa ikipanda siku hadi siku huku pia thamani yao pia ikipanda.Baadhi ya makocha siku za hivi karibuni wameanza kuvuna mishahara minono kuliko hata wachezaji wao,ifuatayo ni orodha ya makocha watano watakaokuwa wakivuna mishahara mikubwa zaidi msimu ujao barani Ulaya.
1.
Pep Guardiola (25 million euros)-Manchester City
2.
Carlo Ancelotti (15 million euros)-Bayern Munich
3.
Jurgen Klopp (13.9 million euros)-Liverpool
4.
Arsène Wenger (11,3 million euros)-Arsenal
5.
Louis Van Gaal (10 million euros)-Manchester United
0 comments:
Post a Comment